Habari wakuu, natumaini mapambano ya maisha yanaendelea…
Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajihidi nieleweke, bila kupoteza wakati, leo ningependa kushare jambo kuhusu pesa za moto’ (real story)...
Wakuu,ingekua vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko..ni tahadhari gani umechukua?
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi
1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake...
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki.
Kunakampuni nyingi kwenye mitandao inachukuq taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho...
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.