Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama mnavyojua tupo kwenye msimu wa mvua kubwa zinazonyesha ukanda wote wa Africa. Lakini mvua hizi zimekutana na tamasha kubwa la kihistoria ambalo atatumbuiza msanii namba moja Africa yani...
6 Reactions
20 Replies
975 Views
Passport ya Kwanza ya Zanzibar kabla ya Uhuru wa Zanzibar
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
15 Reactions
39 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai...
2 Reactions
15 Replies
143 Views
Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
3 Reactions
24 Replies
433 Views
Watu wanatushauri kabla hatujaamua kuoa mke basi tumchunguze. Mtu utamchunguza vipi ikiwa hukai naye yupo kwao na wewe uko busy na kazi.. Yaani unampimaje mtu huruma yake na uvumilivu wake ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo...
11 Reactions
224 Replies
10K Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
2 Reactions
11 Replies
23 Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
26 Reactions
255 Replies
10K Views
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake...
1 Reactions
17 Replies
155 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,543
Posts
49,549,569
Members
667,539
Latest member
manageble
Back
Top Bottom