Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
0 Reactions
9 Replies
52 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule...
0 Reactions
9 Replies
127 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach. Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao...
2 Reactions
15 Replies
260 Views
Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za...
8 Reactions
34 Replies
749 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
2 Reactions
4 Replies
38 Views
Licha ya kuwa na timu nzuri,mipango mingi ya kimafia nje ya uwanja,na ushindi dhidi ya Simba,bado kumekuwa na kubebwa sana kwa hii timu ya serikali. Ni kawaida wachezaji wa hii timu huwa na...
0 Reactions
17 Replies
547 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,386
Posts
49,545,238
Members
667,407
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom