Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
4 Reactions
22 Replies
787 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Media ya wasafi imetangaza kutafuta graphic designer wadau changamkeni fursa
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
2 Reactions
25 Replies
41 Views
  • Suggestion
Salaam Wanajamvi Kuelekea ujenzi wa Tanzania ile tunayotaka, Mimi napenda kuchangia mawazo yangu na kufungua mjadala katika suala zima la utatuzi wa ajira hapa nchini. kati ya changamoto kubwa...
1 Reactions
1 Replies
38 Views
Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
4 Reactions
109 Replies
2K Views
*Nina maumivu makali ya nyonga *Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni) *Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi *Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu...
0 Reactions
12 Replies
109 Views
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
0 Reactions
27 Replies
405 Views
Wakuu, Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
3 Reactions
14 Replies
144 Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya...
3 Reactions
37 Replies
564 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,430
Posts
49,546,418
Members
667,459
Latest member
Popa900
Back
Top Bottom