Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo...
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
i will be short
simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela.
contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over...
Tatizo kubwa la mikopo ya Kausha damu ni shida zinazo wakabili wananchi na haswa watumishi wa umma ambao ndio wahanga wakuu wa kukaushwa damu.
ushauri wangu kwa serikali ni.
wizara ya...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Mwezi mmoja uliopita nilifikia Hotel flani ya kipato cha chini tu ya tsh 80,000 per night. Nikakuta kandambili wamezikata eti mteja asije akaondoka nazo. Nikawaza sana. Yaani mteja anayelipa tsh...
Habari yenu wana JF nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali.
Yaani mkikutana faragha mashine yake...
Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach.
Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.