I will be short
Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela.
contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k...
Wakuu,
Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake.
Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk...
kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance Jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
Tanzania itakuwa yenye maendeleo endapo itakuwa na viongozi na wafanya kazi wazalendo, wasiopenda rushwa, na ambao sio wabinafsi.
Kwa sasa tunapitia changamoto mbalimbali katika kustawi kwa taifa...
*Nina maumivu makali ya nyonga
*Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni)
*Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi
*Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.