Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
Ni kifupi cha maneno FOREIGN EXCHANGE yakiwa na maana ya BIASHARA YA KUBADILISHANA FEDHA ZA KIGENI,KUTOKA FEDHA YA NCHI MOJA KWENDA YA NCHI NYINGINE
biashara hii inafanyika sana mipakani kati ya...
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Habari wakuu,
Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Mzuka wanajamvi
Hii ndio Familia tajiri kuliko zote duniani.
Ni familia Nahyan ya kifalme kutoka Falme za kiarabu UAE ambayo inahodhi biashara na siasa katika ghuba, duniani na ndio familia...
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.