Kwa kuzingatia ombi lako, "Tanzania Tuitakayo":
---
Tanzania, nchi yenye utajiri wa asili na utamaduni, imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika miaka ya hivi karibuni. "Tanzania Tuitakayo"...
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail...
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
Kama mnavyojua tupo kwenye msimu wa mvua kubwa zinazonyesha ukanda wote wa Africa.
Lakini mvua hizi zimekutana na tamasha kubwa la kihistoria ambalo atatumbuiza msanii namba moja Africa yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.