Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
11 Reactions
102 Replies
838 Views
Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote, Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa...
0 Reactions
2 Replies
127 Views
Wakuu, Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
0 Reactions
7 Replies
12 Views
Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa; Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi...
1 Reactions
14 Replies
722 Views
Hivi kwenye swara la stories of change inaruhudiwa kuweka chapisho zaidi ya moja
0 Reactions
6 Replies
12 Views
Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amekiri kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda ni spesho na ni akili kubwa kwelikweli kwani tangu ateuliwe mkoa wa Arusha umekuwa bize sana na kwa...
1 Reactions
10 Replies
176 Views
Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻...
1 Reactions
78 Replies
2K Views
Nililazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba binti yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikuwa simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokei simu...
5 Reactions
101 Replies
1K Views
*Nina maumivu makali ya nyonga *Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni) *Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi *Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu...
0 Reactions
6 Replies
41 Views
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
18 Reactions
46 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,425
Posts
49,546,242
Members
667,458
Latest member
Popa900
Back
Top Bottom