Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
22 Reactions
131 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda). Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
9 Reactions
42 Replies
879 Views
Nili lazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba bint yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikua simu ya pili anapasua kwasbb za kijinga eti kwanini sipokee simu zake...
1 Reactions
10 Replies
11 Views
Zito Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zito ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema...
1 Reactions
70 Replies
686 Views
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya. Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
45 Reactions
99 Replies
4K Views
Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za...
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
4 Reactions
99 Replies
2K Views
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu...
4 Reactions
6 Replies
220 Views
Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
2 Reactions
31 Replies
666 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,332
Posts
49,543,704
Members
667,408
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom