Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
3 Reactions
185 Replies
3K Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina...
13 Reactions
81 Replies
4K Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
3 Reactions
35 Replies
204 Views
Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka. Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance Jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
1 Reactions
9 Replies
65 Views
Wana JF, walaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
5 Reactions
25 Replies
479 Views
Media ya wasafi imetangaza kutafuta graphic designer wadau changamkeni fursa
0 Reactions
6 Replies
37 Views
Za jioni wadau, Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija? Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2...
12 Reactions
84 Replies
5K Views
*Nina maumivu makali ya nyonga *Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni) *Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi *Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu...
0 Reactions
14 Replies
147 Views
Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza...
0 Reactions
2 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,431
Posts
49,546,498
Members
667,458
Latest member
Popa900
Back
Top Bottom