Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila...
Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mojawapo wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za...
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani...
Wanaukumbi.
Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.