Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
Mu hali gani wana JF
Nimehamasika kushiriki mijadala pamoja nanyi
Nimehamasika kuelimika kupitia JamiiForums
Nimehamasika kuheshimu kanuni na sheria za jukwaa
Nimehamasika kuwaheshimu nyote...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
Habari wanaJF,
Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro...
Habari zenu wakuu! Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume( barbershop) iliyopo makongo stend( mageuzio).
Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani...
Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amekiri kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda ni spesho na ni akili kubwa kwelikweli kwani tangu ateuliwe mkoa wa Arusha umekuwa bize sana na kwa...
Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali.
Ikitokea mchezaji mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.