Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
0 Reactions
3 Replies
4 Views
I will be short Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela. contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k...
1 Reactions
13 Replies
134 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje wizara zisizo za muungano zikijadiliwa Mfano wizara ya Afya Wizara ya Kilimo
3 Reactions
13 Replies
253 Views
Wadada wa jf Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife Na wamezaa watoto 2 Shida imeakuja miezi michache iliyopita ni kwamba shemeji hataki kufanya sex kabisa Dogo...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
7 Reactions
114 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila...
4 Reactions
29 Replies
456 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,382
Posts
49,545,133
Members
667,407
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom