Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Habari zenu viongozi,
Kesho nina mpango wa kutembea jiji zima kuomba internship, je naweza kuambatanisha barua ya maombi na vyeti vya degree pekee? Lengo la kufanya hivi ni kuwashawishi waajiri...
Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua".
Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa...
Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date.
Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa...
Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika...
Hizi familia zina nini.
Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem.
Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
Mwenyekiti UVCCM Kagera Farisi Buruhani akiwa kwenye ziara yake wilayani Muleba. Wakiwa kwenye mwendo wa hali ya juu. Walikutana na wanafunzi wakitoka shuleni majira ya saa Tisa Mchana. Gari...
Walimu zaidi ya 5000 mkoani Songwe wamejikuta wanamwaga machozi baada ya kuachwa solemba na viongozi wao wa CWT walio waahidi kuwaletea Tisheti watakazo vaa kwenye siku ya wafanyakazi kama...
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
Kwanini ukiishi nchi za wenzetu zilioendelea zenye ajira nyingi, maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miongoni mwa watu ziko high mpaka kusababisha high blood...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.