Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kufuatia kauli aliyoitoa hadharani siku chache baada ya muasisi wa Tanzania, Julius Nyerere kufariki Oktoba 14, 1999 Mtikila alisema “Nyerere alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI, ni mzoga, nyamafu na...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi limemkamata wakili Yonas Masiaya na kumnyima dhamana. Tukio hilo limetokea jana jioni, Aprili 30, 2024, huku likiwaacha wengi wakijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa kisheria...
0 Reactions
12 Replies
157 Views
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
7 Reactions
50 Replies
433 Views
Naona moto wa Chadema (Tundu Lissu) umewaka Tanzania nzima. Naona huu moto ni kama ule wa vijana wa Senegal Marais wa sasa (Rais na makamo wake) walivyo uwasha moto mpaka wakaingia ikulu ya...
4 Reactions
19 Replies
511 Views
Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote...
15 Reactions
36 Replies
914 Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku...
78 Reactions
2K Replies
459K Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
9 Reactions
27 Replies
413 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,194
Posts
49,539,623
Members
667,351
Latest member
mwamatenge jay
Back
Top Bottom