Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
14 Reactions
128 Replies
2K Views
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani kuna mtumishi mmoja ametoka kusherehekea Mei Mosi napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa wafanyakazi...
4 Reactions
18 Replies
354 Views
Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani. Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Nipo lodge moja ya Kyauke hapa naona maajabu ya dunia. Kuna zoezi la bomoa bomoa nahisi wanatengeneza barabara. Kuna nyumba baada ya lodge ya Kyauke njia ya kwenda Bonyokwa imeandikwa mita 3.4...
0 Reactions
6 Replies
136 Views
Mei mosi imekuwa sherehe za ccm. Mwisho wa kunukuu.
0 Reactions
1 Replies
13 Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya maji kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic...
3 Reactions
22 Replies
405 Views
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda. Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari. Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya...
12 Reactions
37 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,850,259
Posts
49,541,436
Members
667,368
Latest member
slasymagai
Back
Top Bottom