Hii sio haki
Hayo ni maneno ambayo walikua wanaongea wafanyakazi huku wakiwa makundi Kwa makundi,
Hii sio haki na tunaonewa sana na hawatuthamini sasa nawauliza ndugu zetu mmepatwa na nini siku...
Hali ya umaskini Kwa Wafanyakazi wa Umma Kwa Tanzania ni kubwa sana.Just imagine yaani 60% ya Watumishi wote wa Umma wanalipwa chini ya 500k.Pamoja na kulipwa kiasi hicho kidogo Bado wanakatwa...
Jeshi la Polisi limemkamata wakili Yonas Masiaya na kumnyima dhamana. Tukio hilo limetokea jana jioni, Aprili 30, 2024, huku likiwaacha wengi wakijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa kisheria...
Imekua kama dharau kwa mzawa kocha Juma mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makoca wa kigeni kutimuliwa timu ya simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena
Nani...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.
Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.
Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba...
Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za...
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda .
Mwana ccm ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.
Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya...
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.