Yeremia 3:6-8
[6]Tena, BWANA akaniambia siku za mfalme Yosia, Je! Umeyaona aliyotenda Israeli mwenye kuasi? Amepanda juu ya kila mlima mrefu, akafanya huko mambo ya ukahaba, tena, chini ya kila...
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida...
1. Nachukia Mtu ambaye haendi na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia Mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia Mtu...
Wakati dada zetu wakihangaika na kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ndugu Sosa ambaye ni Meya wa huko Mexico kafunga ndoa na Mamba. Ona jinsi mamba alivyopendeza baada ya kuvalishwa shella.
Unaweza...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa.
Huyu mchezaji namfananisha na the great...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni...
Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.