Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu dogo amekuwa analeta threads nyingi sana humu jf kwa ID tofauti tofauti huku akijifanya siyo yeye hivyo kusababishia watu kuchangia nyuzi hizo kwa mood tofauti tofauti. Mfano Leo kaleta uzi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
11K Replies
3M Views
Habari za wakti huu; Kwanza niweke wazi kwamba Mimi Nimekulia Arusha. Ninafahamu Fursa na Changamoto zilizoko Katika Mkoa wa Arusha na Ninatambua tabia na Hulka za Vijana wa Arusha.Kimsingi katika...
1 Reactions
5 Replies
45 Views
Hongereni sana wana Arusha kwa kufurika kwenye maadhimisho ya Mei mosi leo hii. Nguvu ya makonda bado ni kubwa sana..
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa. Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa. Huyu...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
MH MKUU WA WILAYA YA KINONDON KUNA KJJIOO KIMEKUJA MAKAZI MAPYA MAENEO YA MBEZI BEACH MPAKA SASA WANANCHI WAMEKISIMAMISHA KUINGIA MTON TUNAOMBA KUJUULIZA UNAKIJUQ NA KAMA U NAKIJUA IWEJE...
1 Reactions
1 Replies
34 Views
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo...
10 Reactions
264 Replies
23K Views
Kufuatia kauli aliyoitoa hadharani siku chache baada ya muasisi wa Tanzania, Julius Nyerere kufariki Oktoba 14, 1999 Mtikila alisema “Nyerere alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI, ni mzoga, nyamafu na...
3 Reactions
13 Replies
680 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 MEI 2024 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
23 Reactions
272 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,115
Posts
49,537,772
Members
667,324
Latest member
evaristy
Back
Top Bottom