Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
30 Reactions
224 Replies
4K Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
21 Reactions
264 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri kutokana na Hali iliyopo ya kimaisha kwa sasa nimeona niitumie gari yangu aina ya NOAH Ili kujiingizia...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani? Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni...
22 Reactions
57 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
0 Reactions
25 Replies
191 Views
Wakuu ningependa kujua kuhusu huyu mtu anayejiita Lucas Mwashambwa. Jamaa kawa mwiba mkali sana kwa Ufipa nzima na wapinzani wote wa CCM hapa JF. Ni mtu anayeongoza kwa nyuzi ndefu zaidi...
1 Reactions
6 Replies
45 Views
Kwa kifupi Nini kimeongezeka Mei Mosi Mwaka huu? Tumeamka na Bei Mpya ya Mafuta, imepanda tena.Changamoto ni zilezile ambazo MAJIBU yake ni kitendawili ambacho mteguaji ameshindwa naye mtegaji...
4 Reactions
4 Replies
31 Views
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia...
9 Reactions
140 Replies
6K Views
BY OSCER OSCER MUNGU ANAKUONA KAKA REJEA KICHWA CHA HABARI WANASIMBA HIZI SARE @@TUTAKI TUPEN MITANDIO YAKEE
1 Reactions
4 Replies
149 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,092
Posts
49,537,189
Members
667,317
Latest member
Jamesmagogo
Back
Top Bottom