Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi mfanyabiashara wa duka ra rejareja nipo dar mabibo, nahitaji maharage ,choroko ,kunde,njugu mawe ,karanga,kwa bei ya shamba Kama upo mkoqni ukileta mzigo dar ntafute Namba 0788768480
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukimfanya mwanaume kitega uchumi lazima utaona anakuboa, lakin ukimfanya ni mpenzi anaetafuta kwa shida ambae anahitaji Pole na kuhurumiwa katika kazi zake kamwe hutoona kama anakukera.
3 Reactions
12 Replies
585 Views
Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika...
1 Reactions
3 Replies
51 Views
Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu? Wametii kiu yenu...
0 Reactions
9 Replies
10 Views
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika? Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari...
22 Reactions
26 Replies
667 Views
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa...
6 Reactions
57 Replies
1K Views
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu...
1 Reactions
30 Replies
140 Views
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
25 Reactions
178 Replies
5K Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
19 Reactions
116 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,179
Posts
49,539,171
Members
667,340
Latest member
Zimbadynasty
Back
Top Bottom