Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nilikuwa Shambani napambana na mazao na mifugo. Nimi kimejiri huko Arusha?
4 Reactions
20 Replies
290 Views
Habari, Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu. Sihitaji high return business bora nipate...
35 Reactions
257 Replies
16K Views
Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja. Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu...
2 Reactions
7 Replies
58 Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
18 Reactions
102 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
8 Reactions
124 Replies
1K Views
Naona kila mmoja anamnyoshea kidole Kennedy Juma kuwa ndio aliyefanya makosa kwernye lile goli. Pengine Kennedy ana nyota mbaya ya kutopendwa na wanasimba lakini kwa goli la jana halikuwa kosa la...
4 Reactions
6 Replies
62 Views
Chidy Benzi akihojiwa anasema nusu ya wasanii wa muziki hapa nchi wanalika "akimaanisha ni mashoga" https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
0 Reactions
21 Replies
382 Views
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke...
15 Reactions
190 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi...
8 Reactions
94 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,158
Posts
49,538,881
Members
667,339
Latest member
Zimbadynasty
Back
Top Bottom