Amani iwe nanyi.
Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa...
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu.
Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Wanajamii habari za majukumu:
Kesho jumatano ya tarehe 01-05-2024 pale Arusha katika viwanja vya sheikh Abeid Amani Karume kutafanyika Sherehe za wafanyakazi Wote wa Umma na binafsi. Sector zote...
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a...
Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania...
Wanaoleta maendeleo haswa ni wananchi walipa kodi wakisimamiwa na watumishi wa umma. Viongozi wa serikali wao kazi yao kutunga sera tu.
Tumeona mara nyingi serikalini inapojisifu kupiga hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.