Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
1 Reactions
13 Replies
152 Views
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia...
7 Reactions
126 Replies
5K Views
Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo? Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa? Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
20 Reactions
47 Replies
795 Views
1. Nachukia Mtu ambaye haendi na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji. 2. Nachukia Mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani 3. Nachukia Mtu...
11 Reactions
52 Replies
1K Views
Bonjour Hivi unaweza kuwashahuri wazazi wako , au mmoja kati ya mzazi wako, azae / aongeze mtoto/ watoto. Ni swali tu
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo...
13 Reactions
79 Replies
1K Views
Hali gani? Sijawahi na sidhani kama nitawahi kushuhudia tajiri akianguka mapepo... siyo kwamba haiwezekani la, inawezekana. Katika kupita pita kwangu kwote sijawahi kuona mwanamke kutoka...
5 Reactions
16 Replies
697 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 MEI 2024 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye huwa anapenda ubaguzi au kubaguliwa au kumuunga mkono mtu anayeona amejaa mawazo ya kibaguzi na chuki katika kifua chake.kwa...
2 Reactions
79 Replies
725 Views
Sio mzuri kwenye kuandika, ila kwa kifupi hawa wahudumu wa guest/lodge. Wamekuwa msaada mkubwa sana mbali na huduma ya usafi na pia wamekuwa na huruma pale demu anapokula nauli na hafiki lodge...
41 Reactions
158 Replies
24K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,996
Posts
49,534,852
Members
667,303
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom