Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu kwema? JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni. Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa...
1 Reactions
44 Replies
400 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Brother "G", huu ninaokupa ni ushauri mzuri ambao utakusaidia kukulindia heshima yako nusu uliyobaki nayo sasa hivi. Kumbuka Jimbo la Kawe ndio Jimbo namba 1 au 2...
20 Reactions
185 Replies
8K Views
Habarini Wadau, Leo tarehe 1/5 ni siku ya maadhimisho ya sherehe za Wafanyakazi maarufu kama Mei Mosi. Kitaifa Sherehe hizi zimefanyikia Jijini Arusha Katika Maadhimisho haya Rais wa Nchi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
10 Reactions
21 Replies
481 Views
Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja. Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu...
2 Reactions
26 Replies
135 Views
New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr Mauli dE id El Hajji Mapinduzi Uhuru
1 Reactions
8 Replies
136 Views
Kufuatia kauli aliyoitoa hadharani siku chache baada ya muasisi wa Tanzania, Julius Nyerere kufariki Oktoba 14, 1999 Mtikila alisema “Nyerere alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI, ni mzoga, nyamafu na...
4 Reactions
19 Replies
908 Views
Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
0 Reactions
52 Replies
661 Views
Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala...
15 Reactions
70 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,171
Posts
49,538,982
Members
667,340
Latest member
Zimbadynasty
Back
Top Bottom