Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile. Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
13 Reactions
87 Replies
3K Views
1st leg, ALIANZ ARENA STADIUM Mzunguko €19= Tsh 52,744 VIP € 160= Tsh 416,400 2nd leg, ESTADIO SANTIAGO BERNABEU Mzunguko € 125 = Tsh 347,000 V.I.P € 445 = Tsh 1,235,320
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Salaam,Shalom!! Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine...
39 Reactions
264 Replies
8K Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Hakika Wafanyakazi wa Tanzania ni wa kuhurumiwa mno! kama mwaka uliopita ambako hakukuwa na Maandamano ya kupinga Ugumu wa Maisha Nyongeza ya Mshahara ikafichwa siku ya Mei mosi, kwa maelezo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa...
1 Reactions
7 Replies
95 Views
NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA Nimejifunza mambo haya kwenye hili 1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi...
2 Reactions
17 Replies
455 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
287 Replies
9K Views
THOMAS PLANTAN AKIZUNGUMZA KIJERUMANI KATIKA KUMUADHIMISHA PAUL VON LETTOW VORBECK Hiyo video nilipoipata niliipeleka Zentrum Moderner Orient, Berlin kwa rafiki yangu Prof. Kai Kresse na nikampa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye huwa anapenda ubaguzi au kubaguliwa au kumuunga mkono mtu anayeona amejaa mawazo ya kibaguzi na chuki katika kifua chake.kwa...
0 Reactions
56 Replies
452 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,980
Posts
49,534,231
Members
667,301
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom