Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na...
NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI?
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani.
Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa...
Bila kupepesa macho , kama wewe ni mwanaume nauna tabia za kumpigia mwanamke magoti iwesiku ya engagement, iwe kwa kuomba radhi, iwe kwa kuomba utamu pale unapobaniwa, au kivyovyote vile ...
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924.
Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
Yaani mpaka sasa najiuliza, hivi hawa viumbe tutakuwa nao hata na mbinguni pia? Ntaumia sana aisee kama nitakutana nao kwa kweli
Sio tu kwenye mapenzi, hata kwenye maisha ya kawaida hawafai...
Wanabodi:
Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake
Muhimu: Uzi huu unawafaa...
Yeremia 3:6-8
[6]Tena, BWANA akaniambia siku za mfalme Yosia, Je! Umeyaona aliyotenda Israeli mwenye kuasi? Amepanda juu ya kila mlima mrefu, akafanya huko mambo ya ukahaba, tena, chini ya kila...
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida...
1. Nachukia Mtu ambaye haendi na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia Mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia Mtu...
Wakati dada zetu wakihangaika na kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ndugu Sosa ambaye ni Meya wa huko Mexico kafunga ndoa na Mamba. Ona jinsi mamba alivyopendeza baada ya kuvalishwa shella.
Unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.