NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu Shemsa Seif Mohammed amemshukia Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina kuacha siasa za Majitaka na badala yake ajikite kuwatetea...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
Uchaguzi ni mikakati. Ukizubaa kidogo umepigwa. Mkakati muhimu kuliko wote ni kusimamia vizuri zoezi la uandikishaji. Chadema msilowee kwenye maandamano tu wakati wenzenu CCM wanapeleka vijana wa...
wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza...
30 April 2024
Morogoro, Tanzania
Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru
https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY
Matendo ya serikali yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.