Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za...
Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit).
Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Nawakumbusha tu
Maana huwa mnajisahau sana hlf mkipigwa kitu kizito mnakuja hapa mbiombio kujiliza hapa na kutupa taabu ya kuwashauri.
SIWAFOKEI ila tusilaumiane uko bdae.
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi.
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika:
Siku za nyuma hivi karibuni Tume Huru...
Nimeshangaa Ewura leo tarehe 2/4/2022 kututaarifu kwamba mafuta yatapanda bei tarehe 5/4/2022.
Hii ni sawa na kuhujumu uchumi kwani kesho na keshokutwa tutegemee uhaba wa mafuta.
Wafanyabiashara...
Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
Inchi yetu Wananchi wake waliingizwa kwenye Vyama vingi Kwa utashi wa MATAIFA ya nje na Viongozi walio na hila Ili waonekane wanaenda na matakwa ya wakati katika Siasa. Waliotaka Vyama vingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.