Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
Mzee alipata kuwa
Jaji Mkuu
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba
Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa...
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda).
Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU.
1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.
Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.
Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Kuna watumishi wamekosa mishahara mwezi wa nne na malipo mengi yamekwama sababu kubwa wanasema bank of Tanzania (B O T) mfumo unasumbua.
Je kuna ukweli wa hiyo taarifa?
Inchi yetu Wananchi wake waliingizwa kwenye Vyama vingi Kwa utashi wa MATAIFA ya nje na Viongozi walio na hila Ili waonekane wanaenda na matakwa ya wakati katika Siasa. Waliotaka Vyama vingi...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.