Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za jioni wadau. Nilipokuwa chekechea mwaka 1994 pale KKKT korogwe kwa aunt yangu alikuja raisi wa awamu ya pili marehemu Ali Hasan Mwinyi katika uwanja wa TTC chuo cha ualimu Korogwe...
2 Reactions
6 Replies
21 Views
Waajemi wapo mbele kwa lolote lile hata ranking za wazungu, hao waisrael wana mushkeri maana sio wale wa mwanzo waliokuwa wanapigwa na Hitler.
15 Reactions
206 Replies
4K Views
Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu...
5 Reactions
51 Replies
840 Views
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
8 Reactions
36 Replies
592 Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu...
25 Reactions
79 Replies
1K Views
CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana...
0 Reactions
6 Replies
203 Views
Group hili sio la Madalali wa Viwanja, Chumba ila ni maalumu tu kwa Wapangaji. 1. Mpangaji mwenye chumba anayetaka kuhama au anayetafuta Chumba kwa kupeana Connection ya Chumba ili kuepuka kero...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Wakenya hawana baba. Jamaa walimu wataramba dume mwaka mpya wa fedha
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
85 Reactions
637 Replies
16K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,874
Posts
49,530,454
Members
667,270
Latest member
peter one
Back
Top Bottom