Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile . Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
3 Reactions
14 Replies
397 Views
Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢 Halafu mnaimba kuwa anaupiga...
2 Reactions
14 Replies
112 Views
Mkinga anaitafuta hela kwa watu wote tz ila akiipata yeye huwa ni mwiko kutumia yaani unaweza ukamkuta mkinga kakaa kama maskini ukiambiwa ndani anamiliki mabilioni Utakataa, majamaa wanaishi kama...
0 Reactions
3 Replies
32 Views
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
1 Reactions
60 Replies
452 Views
Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi. Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu? NB: Waajiri walazimishwe...
2 Reactions
14 Replies
774 Views
Serikali ya Jamhuri mnafeli wapi kuwafungia Hawa wachina wachezesha kamari ya madubwi hamuoni Kama NI uhujumu uchumi. Kweli the system is corrupted hamna jipya.. Poor the government...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant...
0 Reactions
3 Replies
12 Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
48 Reactions
307 Replies
7K Views
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
28 Reactions
107 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,867
Posts
49,530,198
Members
667,271
Latest member
peter one
Back
Top Bottom