Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati Mkapa - ccm Wakti wa Jk - chadema Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM wakati wa Samia - Mfuasi wa Chadema anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
4 Reactions
19 Replies
194 Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
0 Reactions
13 Replies
33 Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
14 Reactions
91 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-3 Reactions
208 Replies
3K Views
Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Katika viumbe vilivyoumbwa kama inavyosemekana kwa upande wa jini kila ninaesikia ni lazima usikie ni jinsia ya kike. Kila mtu akisema kakutana na jini ukiuliza ni lazma usikie ni jinsia ya...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
List ni ndefu ila wa kwanza ni Ngoma, huyu mchezaji hawezi ifikisha Simba popote
2 Reactions
22 Replies
339 Views
Habari wana taaluma.Mimi nilihitimu kidato cha 4 mwaka 2010 masomo ya biashara.Masomo yote nilipata D isipokuwa Book-keeping 'A' , Mathematics 'B' na History 'C'. Niliendelea advance masomo ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam. Simba inajiandaa...
1 Reactions
21 Replies
419 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,940
Posts
49,532,884
Members
667,283
Latest member
gee dara 2024
Back
Top Bottom