Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii itasaidia kukuza sekta ya viwanda vya magari kwenye ukanda wa afrika mashariki. Hasa magari yao ya kitalii aina ya mobius nayakubali sana! ================================== Update: 16/10/2021
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
48 Reactions
308 Replies
7K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
85 Reactions
631 Replies
16K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya yake inatarajiwa kuendelea kupanda zaidi hali inayochangiwa na vita inayoendelea kati ya...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za...
8 Reactions
28 Replies
666 Views
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile . Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
3 Reactions
15 Replies
397 Views
Waheshimiwa wana jf, habari hii ni tetesi na muda ndio una majibu kamili. Kama wrngi wetu tujuavyo kuwa muda wa ukomo wa utumishi wa IGP Sirro kwa mujibu wa sheria uko ukingoni kufikia ukomo...
13 Reactions
85 Replies
7K Views
Nikiangalia ujezi wa reli ya SGR naona una track moja tu inayotoka Dar es Salaam mpaka Dodoma na ujenzi wa kwenda maeneo mengine kama Mwanza na Kigoma ukiendelea. Kuna matarajio makubwa sana...
4 Reactions
27 Replies
357 Views
Mkinga anaitafuta hela kwa watu wote tz ila akiipata yeye huwa ni mwiko kutumia yaani unaweza ukamkuta mkinga kakaa kama maskini ukiambiwa ndani anamiliki mabilioni Utakataa, majamaa wanaishi kama...
0 Reactions
4 Replies
32 Views
Looking for a meticulous and reliable housekeeper to maintain the cleanliness and organization of your home or office? Meet Zena! With expertise in dusting, cleaning, ironing, and caring for...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,867
Posts
49,530,198
Members
667,271
Latest member
peter one
Back
Top Bottom