Tanzania ianze kuagiza magari yanayozalishwa na viwanda vya Kenya

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,898
43,802
downloadfile.jpg
Hii itasaidia kukuza sekta ya viwanda vya magari kwenye ukanda wa afrika mashariki. Hasa magari yao ya kitalii aina ya mobius nayakubali sana!

==================================
Update: 16/10/2021

 
Mobius motors ni kampuni kubwa ya uzalishaji magari na ya kizalendo iliyopo afrika mashariki..
downloadfile-4.jpg
 
Hii jf ya sasa bado kuna tatizo la picha kufunguka Invisible fanyia kazi hili,kama kule jukwa la photo unaweza kuta haya thead tano picha hazifunguki na hata kuonyesha kama,kuna picha iko attached, tena kwenye window os tatizo la picha kufunguka ni kubwa sana
 
Mkuu fafanunua kidogo! Hawa Jamaa wanafanya under licence au hapo Kenya Ndio HQ?? Isijekua wanafanya ule mchezo WA Isuzu kutengeza ma'tutuu??
 
No, this is strictly Kenyan

The brainchild behind Mobius is a British citizen, Joel Jackson, and some of the investors are American Billionaire Ronald Lauder and Darshan Chandaria of Chandaria Group, an Indian- East African company.

The car is not 100% Kenyan product:

The Mobius II model, designed in Kenya, will have about 45 percent local content, although the engine and some other parts are imported, a practice common in the industry, particularly for new entrants.
- (Biznews.com).

For 10 grand, it's a good price but will the customers buy a car with no air-conditioner to fight the heat while stuck in traffic?
 
Hakuna haja ya kuagiza hayo magari bado kwa kutumia japanese vehicle tunafanya vzuri sanaa tena kuna viwanda vya watanzania hapa arusha wanaya modify vizuri sanaa hayo toka japan na hata wao wakenya waganda south africa wanawatumia hzo modified kutoka hapa kwetu so sion sababu kwakua itaharibu hata ajira zinazotolewa na wazawa hapa through modified ya hayo magar frm japan wacha tununue blue band na mambo mengine madogo madogo na sio hayo magari kwanza hakuna uhakika wa hayo magar kuvumilia barabara tulizo nazonhaswa kipindi cha mvu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom