Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu...
Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea...
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni...
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha, nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME.
Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa...
@arusha, baba mgoni, mama mchagga
By that time my dady and uncle were serving jail sentense, uchumi home ukayumba sana ikalazimika mabanda ya uani tuwape WAPANGAJI.
nilikuwa form two to three...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.