Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
22 Reactions
222 Replies
4K Views
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
5 Reactions
60 Replies
957 Views
A
Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki. Maji yanapita barabarani, yaani...
3 Reactions
6 Replies
161 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
3 Reactions
20 Replies
215 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
68K Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
18 Reactions
135 Replies
3K Views
Moja ya jukumu la serikali ni kuregulate soko la ndani ili wananchi wasipatwe na ukali wa maisha ama waweze kumudu gharama za maisha. Nimeangalia nyanya masokoni haikamatiki bei ipo juu. Chanzo...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
84 Reactions
623 Replies
16K Views
Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule Ni sahihi...
0 Reactions
22 Replies
211 Views
Nimeona kbsa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi SAS kutupeperushia bendera ktk uchaguz ujao awe prof kitila Mkumbo , Huyu atatufaa Sana na Ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfno hili la...
1 Reactions
5 Replies
67 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,813
Posts
49,528,687
Members
667,244
Latest member
Malise
Back
Top Bottom