Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna ligi kubwa sana kijiweni kwetu kati ya mchungaji na mtu wa marketing kuhusu hili tangazo. Mchungaji ameitwa mhenga ambaye hajui chochote kuhusu biashara za kisasa.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
286 Replies
9K Views
Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo...
1 Reactions
36 Replies
497 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
8 Reactions
26 Replies
687 Views
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam. Simba inajiandaa...
1 Reactions
29 Replies
639 Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
  • Sticky
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters. The club formed in 1902. Stadium: Santiago Bernabéu...
38 Reactions
51K Replies
2M Views
Katika viumbe vilivyoumbwa kama inavyosemekana kwa upande wa jini kila ninaesikia ni lazima usikie ni jinsia ya kike. Kila mtu akisema kakutana na jini ukiuliza ni lazma usikie ni jinsia ya...
2 Reactions
25 Replies
213 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,952
Posts
49,533,410
Members
667,297
Latest member
Jafu jafu
Back
Top Bottom