Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Kama kweli Zanzibar ni nchi basi wanaosema mtu katoka nchi ya zanzibar wapo sawa. Kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania basi sio nchi na hawana Uhuru wa kuitwa nchi. Zanzibar ingetakiwa kuwa na...
5 Reactions
18 Replies
247 Views
Si unasema umepinda basi kuna mwana huko Ujerumani amenyongoroteka kabisaa Baada ya miaka 12 ya mahusiano na mpenzi wake ...mwishowe mwanamke akaomba waachane akaenda mahakamani akidai apewe...
4 Reactions
22 Replies
275 Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
2 Reactions
20 Replies
344 Views
Salaam, Shalom. Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo. Cha kushangaza wanaibuka viongozi...
9 Reactions
46 Replies
549 Views
OCTOBER 7..... Wapalestina wakifurahia kwa kuwapiga waisrael waliotekwa Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel te Shange mitaa ya London, Uingereza...
0 Reactions
11 Replies
260 Views
Naibu Waziri wa Afya akiwa bungeni amesema kuwa tayari Bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
2 Reactions
12 Replies
82 Views
List ni ndefu ila wa kwanza ni Ngoma, huyu mchezaji hawezi ifikisha Simba popote
1 Reactions
6 Replies
211 Views
Habari wanajamvi, Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi. Naona...
5 Reactions
52 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,925
Posts
49,532,383
Members
667,282
Latest member
gee dara 2024
Back
Top Bottom