Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwako.Wapambane
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
2 Reactions
21 Replies
345 Views
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam Simba inajiandaa...
1 Reactions
19 Replies
306 Views
Salaam, Shalom. Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo. Cha kushangaza wanaibuka viongozi...
9 Reactions
42 Replies
549 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-3 Reactions
204 Replies
3K Views
Ukweli ndio huo Watanganyika hua mnafuata nini zanzibar? Mbona sioni sababu ya msingi ya ninyi kwenda huko na sioni mnalofuata huko, Bakini kwenu mjenge kwenu wale wakija wakaribisheni, wala...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
18 Reactions
81 Replies
3K Views
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
2 Reactions
11 Replies
82 Views
Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa...
1 Reactions
4 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,925
Posts
49,532,383
Members
667,282
Latest member
gee dara 2024
Back
Top Bottom