Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
5 Reactions
188 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-3 Reactions
126 Replies
2K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
34 Reactions
171 Replies
4K Views
Naandika haya kwa hisia nyingi sana baada ya kupita pita huko na huko kutafuta riziki maana imeandikwa asiye fanya kazi na asile. Mwaka fulani nilishawahi kujikuta naangia huko viwandani kutafuta...
1 Reactions
2 Replies
23 Views
Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba...
8 Reactions
11 Replies
865 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu...
2 Reactions
24 Replies
687 Views
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni. Hata hivyo...
1 Reactions
56 Replies
1K Views
Habari za Wakati huu. Je Wewe ni Mjasiriamali Mdogo ambaye Unazalisha na Kufungasha Bidhaa za Aina Mbalimbali? Masoko International Company kwa kushirikiana na Wadau wetu mbalimbali tunakuletea...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,736
Posts
49,526,668
Members
667,223
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom