Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-5 Reactions
135 Replies
2K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
34 Reactions
182 Replies
4K Views
Binafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine? Kwa mtazamo wangu...
2 Reactions
5 Replies
142 Views
Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule...
0 Reactions
3 Replies
37 Views
Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu? mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅 Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
3 Reactions
4 Replies
5 Views
Sawa inatokea umesababisha ajali umeua binadamu mwenzako umekimbia kukwepa kwenda jela na umebahatika hakuna aliyekuona. Huko nyumbani kwako utaishije? unaingia mtandaoni unaona maelfu ya watu...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
KWA WALE WASIOFAHAMU HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA. JAY MELODY VS Z ANTO
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano...
4 Reactions
12 Replies
179 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,742
Posts
49,526,795
Members
667,224
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom