Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je Ndugu zetu wanaokula fungo wanazingatia mila zao au ni kutokana na uhaba wa nyama? Wadau hamjamboni nyote? Nimeleta hoja hii muhimu nilitarajia majibu yasiyo na kero wala karaha Nauliza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-3 Reactions
130 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
9M Views
Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu...
2 Reactions
25 Replies
687 Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
34 Reactions
177 Replies
4K Views
Habari wakuu, Hii mitandao imekuwa ikiwapa watu umaarufu na kisha kuwapoteza, Mara nyingi mtu anaeibuka kuwa Maarufu mtandaoni huwa hategemei kuwa kituko chake kitampa umaarufu bali hutokea tu...
13 Reactions
47 Replies
2K Views
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
5 Reactions
192 Replies
2K Views
Kati ya siku ambazo sitazisahau kwenye maisha yangu yote ni leo. Muda wa saa nne asubuhi nimeenda kutembelea biashara yangu moja mtaa fulani hapa hapa dar . Biashara ilipo lazima utumie bodaboda...
5 Reactions
16 Replies
473 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
12 Reactions
169 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,740
Posts
49,526,727
Members
667,223
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom