Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
mtaani, ofisini na kwenye mishemishe watu wanakuheshimu kama baba Paroko ..
Ila moyoni unasema laiti wangejua !
Wasingenipa hata hizo heshima (simaanishi wakudharau)
Ila unajikuta watu...
Tuna sababu zote za kumsemea Rais Samia kwasababu kazi zake zinaonekana ametugusa kila nyanja, Rais ambaye mpaka sasa hajakosea chochote, kwa lugha ya vijana tunasema mama haya baya.
Tukatae watu...
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.
Hata hivyo...
Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango...
Labda wameona wakopeshaji mtandaoni wamefanikiwa kwenye 'mkakati' wao wa kudai madeni. Binadamu huwa hatupendi kudhalilishwa hivyo na benki ya I & M wameamua kutumia mkakati huo huo kwa...
1. Mapendekezo ya tume ya haki jinai iliyokuwq imeundwa na Mhe. Rais yaingizwe kwenye utekelezaji.
2. Mahakama zote nchini zitumie/zifunguwe vifaa vya teknolojia ya kurekodi na kutafasiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.