Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti...
3 Reactions
34 Replies
472 Views
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
8 Reactions
79 Replies
2K Views
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani...
12 Reactions
106 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
10 Reactions
80 Replies
3K Views
Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi. Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli? Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza...
0 Reactions
1 Replies
46 Views
Je, umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo? Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
1 Reactions
22 Replies
513 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwamba wa siasa za kisasa, Freeman Mbowe, leo anaongoza Maandamano ya Amani ya kupinga ugumu wa maisha na sheria mbovu za uchaguzi Mjini Tanga Usiondoke JF...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana. Na sherehe inafana...
12 Reactions
1K Replies
19K Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
6 Reactions
16 Replies
282 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
1 Reactions
9 Replies
69 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,675
Posts
49,525,542
Members
667,194
Latest member
Enodius
Back
Top Bottom