Wana jukwaa wa MMU habarini?
Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao...
Wadau nimekuwa nazifuatia Mali za CCM.Wakati wa Mfumo wa Chama kimoja cha SIASA ilikuwa WANANCHI wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au Huna chama ni LAZIMA uchangie Maendeleo.
Wakati wa Ujenzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
Ingekuwa ni Tanzania hakyamungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni Mpumbavu sijapata Kuona. Yaani anaona kabisa Mto Umefurika na Watu wa pande zote Mbili...
Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa...
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.