Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba Hajui kutumia...
0 Reactions
1 Replies
3 Views
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
11 Reactions
129 Replies
20K Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
23 Reactions
165 Replies
6K Views
pisi kali
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi...
6 Reactions
135 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,849,374
Posts
49,517,271
Members
667,093
Latest member
Kevin bravo
Back
Top Bottom