Habari zilizotolewa na gazeti la Al Arabiya kuhusu majadiliano ya kusitisha vita zzinasema, muafaka kufikiwa ndani ya muda mchache ujao huko Cairo. Leo kunatarajiwa kufanyika maongezi huko Cairo...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER..
Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.
Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
Wewe kijana mwenzangu, achana na mawazo ya kupinga CCM, nafikiri ni hekima kupinga uovu, kuwakataa waovu, naamini upinzani wa namna hii utatoa matokeo makubwa ukiwa ndani ya CCM kuliko huko nje...
Shalom,
Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa.
Na katika...
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.
kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).
Maafisa wa polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.