Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KAGERA UNAUDHALILISHA MKOA SASA NI WAKATI WA KUJIUZURU MARA MOJA. BUKOBA KAGERA. Mkoa wa Kagera Jumuiya ya Mkoa wa Vijana (UVCCM) ilipata mwenyekiti mpya ambaye...
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Mwanamke huyu gander man ni mojawapo fursa kwake Akimpa mwanaume namba yake tu basi fursa imeanza tofauti ya muda wa kutumia fursa ndio upo mfani mwingine akitoa namba ataanza palepqle kuomba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa...
8 Reactions
29 Replies
451 Views
Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara! Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo, Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee? Kila alipo mtu mweusi katika Dunia...
3 Reactions
20 Replies
183 Views
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
22 Reactions
175 Replies
7K Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama . Christina...
3 Reactions
16 Replies
234 Views
Isaidieni jaman natafuta application ambayo naweza kusoma sms bila hawara kujua acha ile ya elfu 20 nataka ya free au bei chee nswasilisha
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
9M Views
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari...
6 Reactions
18 Replies
660 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,517
Posts
49,521,752
Members
667,149
Latest member
Ellen Maguzu
Back
Top Bottom